Jibu maarufu la Serikali bungeni

hapa magamba kwa kukariri akijibu tu :A S 465::israel:
 


Hilo Swali halina sijui mpango kabambe, serikali imejipanga, tunafanya majadiliano na wafadhili, tume imeundwa, serikali imeanza kulishughulikia swala hili kikamilifu, wala wananchi wasubiri matunda kabambe kutokana na taswila ya mradi huo.....swali hilo ni lazima Spika aingilie kati kumuokoa anayeulizwa ambaye ni Pinda...
Bila ya hivyo jamaa atalia tena
 
Zaidi:

"Tuna mkakati kabambe..."

mazungumzo na nchi wahisani bado yanaendelea,,,,,
kwa sasa tunatafuta pesa za upembuzi,,,,,
jambo hili tunalijua na mh.waziri atakuja jimbon,,,
mh. Mbunge labda baada ya kikao hiki ningependa tuonane ili tuone inakuwaje
 

mh wakat ndio sasa hiyo lugha unayoitumia sio nzuri nakuheshimu sana,,,,
 
".....mpango mkakati umekamilika, sasa serikali inafanya mazungumzo na wafadhili, tunaomba wananchi wavute subira..."

kwani serikali yao ya chama cha mapinduzi chini ya rais Jakaya Mrisho kikwete ni sikivu'DR MAGULOCK
 
Timu ya wataaramu ipo mbioni kutoa ripoti yao, na nikuhakikishie tu mh: Mbuge .... Kwenye bajeti ijayo Serikal itatenga pesa ktk mradi huo.
 
mh wakat ndio sasa hiyo lugha unayoitumia sio nzuri nakuheshimu sana,,,,

SWALI LA NYONGEZA
Mhe Waziri,pamoja na heshima uliyonipa,unaonaje ukawazadia wananchi moja ya uongozi uliotukuka kwa kuonesha uwajibikaji wa kuachia ngazi,ikiwa ni juu ya majibu yako ya "liwalo na liwe"?
 

mhe,wakati ndio sasa uliza maswali ya kujenga,swala madaktar lipo mahakaman usilizungumzie hapa,nasema kaa chini
 
mh spika wizara yangu imeunda tume kufuatilia mchakato na muda si mrefu tutapewa taarifa kutoka kwa wataalamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…