SubiriJibu
JF-Expert Member
- Jun 26, 2009
- 1,805
- 1,890
Kwa wale wenye kutarajia kuwa mawaziri basi jiandae kuwa mwepesi wa kutoa jibu hili jambo lolote ambalo huna majibu nalo:
{...."Jambo hili tumelisikia, linatugusa, tunalitafakari, tutapatia ufumbuzi"....}.
Wala usiumize kichwa, jibu hivi songa mbele.

Jambo hili liko kwenye mchakato, na haya mengine yanazungumzika.Zaidi: "Tuna mkakati kabambe..."
Zaidi:
"Tuna mkakati kabambe..."
Jambo hili liko kwenye mchakato, na haya mengine yanazungumzika.
".....mpango mkakati umekamilika, sasa serikali inafanya mazungumzo na wafadhili, tunaomba wananchi wavute subira..."
Zaidi:
"Tuna mkakati kabambe..."
Zaidi:
"Tuna mkakati kabambe..."