Freedom tommorrow
JF-Expert Member
- Jan 31, 2015
- 1,795
- 1,130
Waziri wa afya amemsimamisha kazi kaimu mkurugenzi wa taasisis ya saratani ya ocean road kupisha uchunguzi. Hii ni baada ya ziara walizokuwa wanafanya mawaziri hao wiki iliyopita.
Itakumbukwa kuwa kaimu mkurugenzi huyo ndiye yule mwenye hospitali ya pale tabata ambayo pia inatibu saratani. Taarifa nilizozipata ni kuwa ocean road ni furaha shangwe na vigelegele kwani mtandao wa ukabila unaoanzia wizarani unaanza kukatwa. Kumbuka kuwa aliyesimamishwa muhimbili na huyu wa leo wote ni kabila moja.