Jibu la I AM SINGLE

Complicated means 'am married or in relation,but tempted to cheat anytime'

Uhuni tu!

Afu kumtaja taja zombie unanistua mtima

Napendekeza your next research iwe kwenye hili suala.
 
Wanawake wengi dawa yao ni kuwadanganya, asipodanganywa hakubali kabisa thats why utakuta mtu anaazima gari hata nguo ili aonekane anazo na hatimaye akubaliwe na mdada.
 

Kila kitu ktk social life kina umuhimu wake.....kuna watu wanakaa darasani hata miaka 9 wanasomea mambo haya ya human behavior (sociologists) ikiwemo hii...unafikiri ni ujinga kuwepo kwa course hii??? kila kitu ni muhimu kwa namna yake
 

Wapi kabatan ka "like"...u deserve it
 


Kwa taarifa yako ninyi ndo mnaozalisha waongo! Hebu tuambie huo utafiti wako umetusaidia nini?
 

ln addition to this,you will never write off men,women needs men,and no way out you can change dis,
by the way,huyu mtafiti anatakiwa kuweka wazi je yeye alitegemea out come iwe vipi,becides, wanawake wengi ukiwapa ukweli hautakulipa,bora kuwadanganya,na pia utafiti mdogo unaonyesha wanake wanapenda kudanganywa.
 
My grandama told me truth begets truth do does a lie..If you lied kuwafanya wenzio ma guinea pigs kupata data za research yako utapata hayohayo..
jamii yetu imeshazoea ujanja+uongouongo,mwanamke wa kiswahili mchane facts kwamba kwenu we choka
na ada ya shule ulilipiwa na mjomba ako....uone...Nduuuki neneeee!!!!!!!!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…