Jibu kama......

Stephen Ngalya Chelu

JF-Expert Member
Oct 31, 2017
7,621
16,373
Huu ni uzi maalum wa kujibiana kinunda kama sehemu ya kufurahishana.
Unaandika statement na unaandika ungependa wakujibu kama nani.
NB: matusi hayatakiwi, kuna ban.

Naanza...

"Nina muda sijala chipsi mayai"

Jibu kama mwanaume wa mkoani
😀😀😀😉
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom