Jiangalie mtoto wa kiume hii ni Dar

Jiangalie mtoto wa kiume hii ni Dar

Tamama

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2016
Posts
887
Reaction score
1,106
Nilikupenda miaka zaid ya 10 iliyopita wakati huo nipo Olevel nawe upo Advance ulivyofika chuo ukaniona mtoto kwa kauli yako mwenyewe ukasema tuachane

leo baada ya muda mrefu kupita ukapata no yangu tukasalimiana na kubahatika kuonana japo haikuwa planed ilitokea tu wewe kuwepo eneo ambalo nipo

Tukapiga story nikakuonesha mpaka ninapokaa ukiwa kama mshkaji tu cause nilishasahau yalotokea, eti baada ya wiki jioni moja unanambia unanisubiri maeneo ya nyumbani kwangu kaka nimekuita? Nakwambia sipo maeneo ya nyumbani unanambia utanisubiri tu kaka nimekuomba? Nikakujibu hata nikirudi nitakuwa nimechoka mana mda huo ilikuwa inaenda sa tano usiku eti kwa confidence kabisa unanambia haina shida utalala kwangu mpka kesho yake mchana unikande...

Hivi, tumepotezana zaid ya miaka10 hujui niko vp kimahusiano kwa sasa kinachokuaminisha ni nini? pili umenikuta naishi mazingira ya kuridhisha yenye almost kila kitu muhimu ndani kaka unajua nani karahisisha hayo? Mtoto wa kiume unapata wapi nguvu ya kulala kwa msichana ambae si mpenz wako? Ukitatuliwa marinda utakuwa umeonewa?

Wakati uko chuo ulipanga nyumba hukurusu hata siku moja mimi kupajua kwako Mungu ambayo si mwanadamu uka disco na kwenda kusoma nje sasa toka urudi huna hata kazi na unaishi kwenu leo kiherehere cha kulala kwangu kinakujaje ndugu?
 
Huyo jamaa alikuwa muungwana sana na inaelekea alikuwa analinda future yako baada ya kung'amua kwamba anaweza kukuharibia masomo.Msamehe.
 
MPE nafasi nyingine hyo mzee mwenzangu,kukosea n sehemu ya maisha nasema tena MPE nafasiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Huyo jamaa ni mseng.e , hata kama vyuma vimekaza sio kwa ujinga that much
 
Back
Top Bottom