Hapo ndipo taklibani Kuku 87 watachinjwa ili aonje radha ya kuku wa Kitanzania.
Ni mdada mmoja hivi mwenye asili ya Kikerewe!!
Kumbe unawajua watoto wa Hicho kisiwa walivyo Hatari sana!!!
Ni mdada mmoja hivi mwenye asili ya Kikerewe!!
tujuze vzr mkuu ni nani,mi mbona nina asili ya kimasai tofauti nini?
Tofauti labda Wanawake wa kimasai wanakeketwa ila Wakara hawakeketwi.
lazima atakaribishwa ikulu akija lol
NAPITA kwani huyu ndio nani!??
Makubwa!!Mkuu wahindi wamekukosea nini??!!Me nikajua kiongozi wa boko haramu wa Nigeria! hapa petu kuna school bus linapitaga na mabinti wa kihindi tu.