Jiandaeni anakuja tanzania.

Jiandaeni anakuja tanzania.

So what? Huku niishiko wako wengi tu wa kutoka Tanzania, we unamfah mwanamuziki maarufu aitwa Mr ZuX? Ni mtz anaefanya poa huku majuu, lakini bila kutoa maelezo vzr sio rhs kumfahamu. Nimeuliza kwa sababu sijamfaham, what makes her popular? Kuwa na asili ya ukerewe is nonsense

Mkuu mbona povu,
 
B'REAL Wakati mwingine ndoto zinaweza kuwa kweli!
NAPITA

Watu waliweza mkwapua Mr CHEEKS saa ya gharama pale Diamond Jubilee kwanini mkuu B'REAL ashindwe timiza ndoto zake.

Chochote kinawezekana
 
Last edited by a moderator:
NAPITA

Watu waliweza mkwapua Mr CHEEKS saa ya gharama pale Diamond Jubilee kwanini mkuu B'REAL ashindwe timiza ndoto zake.

Chochote kinawezekana

Ndo maana nimemtia Nimempa moyo azidi kuota hivyo ili wakati ukifiika Afanikiwe na hatimaye kuwa maarufu kwa Tukio Hilo.
 
Ngoja nijisogeze kwa kalumanzira ili akija asirudi tena awe na mimi milele
 
Back
Top Bottom