Jiandaeni anakuja tanzania.

Jiandaeni anakuja tanzania.

NAPITA

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
5,077
Reaction score
2,248
uk.jpg
 
Attachments

  • uk.jpg
    uk.jpg
    72.6 KB · Views: 739
  • 1.jpg
    1.jpg
    63.4 KB · Views: 710
Tujiandae kitu gani? Tudindishe kabisa?

Mkuu natumaini uko Nyumbani sa hivi ni alfajili ndo maana umesema hivyo namaanisha kumpokea anakuja kutalii kwenye Mbuga zetu uko Nyumbani
 
Hatukumpokea Oprah Winfrey huyu tumpokee kwa lipi?

Wewe unaweza usimpokee lakini kuna watu wanashauku ya kumuona bi mdada huyu mwenye asili ya Kisiwa cha Ukelewe Ukala lakini ndo hivyo tena mzazi wake akakimbilia kwenye Kisiwa Kingine nje ya nchi.
 
Hapo kwenye kisiwa cha UKALA umenimaliza kabisa.
 
Wewe unaweza usimpokee lakini kuna watu wanashauku ya kumuona bi mdada huyu mwenye asili ya Kisiwa cha Ukelewe Ukala lakini ndo hivyo tena mzazi wake akakimbilia kwenye Kisiwa Kingine nje ya nchi.

Mmmmmmmh! Mtoto mtamu sana huyu na ninamkubariii ile mbaya!
Ni ukweli usiopingika kuwa anaendana na watoto wa kikerewe japo ni kwa kumfananisha tuuuu!
 
Heheeee yaaani jk usimtanie kabisa ata adjust timetable ili akutane naye huko mbugani walau wapige picha
 
...akicoment kitu kuhusu ukombozi wa tanganyika ntajiandaa,vinginevyo hata utalii wenyewe tunaibiwa tu...
 
Heheeee yaaani jk usimtanie kabisa ata adjust timetable ili akutane naye huko mbugani walau wapige picha

Mwenyewe akisoma hii lazima akutafute umejuaje ha!ha! umenifurahisha
 
Mmmmmmmh! Mtoto mtamu sana huyu na ninamkubariii ile mbaya!
Ni ukweli usiopingika kuwa anaendana na watoto wa kikerewe japo ni kwa kumfananisha tuuuu!

Kumbe unawajua watoto wa Hicho kisiwa walivyo Hatari sana!!!
 
Back
Top Bottom