Jiamini wewe kiumbe hakuna kama wewe

Mimi najiamini bhn sura ya baba handsome alafu najificha kwenye magauni makubwa ya kihindi huwezi ona kasoro yeyote

Najiamini najisifia mwenyewe wala sisubiri kusifiwaaa
Sura ya baba[emoji3][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama yangu
 
Hii ni JF (95+ ni fake IDs), so siyo ajabu watu kuishi maisha fake humu, mimi sioni ajabu.

By default naichukulia JF kama fake, watu wake ni fake, thread ni fake, IDs ni fake, comments ni fake etc etc, kwa hiyo napoona mtu ana-fake JF sishangai.

Na tatizo lingine kubwa watu wengi humu wamewekeza kwenye mapenzi! Issue za mapenzi zimejaa uongo uongo sana, mtongozaji anajaribu kuwa vile ambavyo mtongozwaji anataka, na mtongozwaji naye hataki kubaki nyuma.
 
Kama wew unajiamini tuma picha yako humu,,,,, tuanzie apaa kwanza
 
Kweli lakini[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kweli lakini[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Usishangae sana tukifake.

Ndo maana humu JF watu wenye Verified IDs wanakimbiaga mijadala, angalia account za wanasiasa kama kina Zitto (huyu ndo kaanza tena kupost humu, ila hachangii discussions), Mwigulu, Makonda, Lema, Dr Slaa, Prof Tibaijuka, Yericko (huyu sijui kama ni mwanasiasa au la).

So tukishakufahamu unakuta watu wana expose weakness zako kiasi kwamba hata faraja uliyoitegemea humu JF huipati.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…