[emoji3][emoji16][emoji16][emoji23][emoji2][emoji23][emoji6][emoji6]shunie wewe!Sema kweli jamani umeacha kuanzia lini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mana una picha yako pendwa ile ya mashavu kama unapuliza moto
Kwa Kujiamin tu sikuwez
iyo vita yake akijua sasa
mie nakaa zangu pembeni kuangalia mwisho wake
Kweli jamani ana picha yake pendwa anasifiwa huyo[emoji3][emoji16][emoji16][emoji23][emoji2][emoji23][emoji6][emoji6]shunie wewe!
Huu ujumbe wa kwangu au jiran yangu?Najiamini lakini mpaka nikutumie picha yangu umshkuru sana Mungu kama sina mpango wa kuonana na wewe ukinilazimisha kuhusu picha kwakweli utapambana na hali yako kituko utakachotumiwa
Nakwann Uigize au ufake sura ?? Picha ?? Maisha? Tena kwa mtu unayejua mtakutana tu LAZIMA mjuane ?? .Saafi sana ndivyo inavyotakiwa
Waje wapambane na hali zao,wajikubali wajipende hata kama shavu dodo!
Mfupi kama miyeee hapa!jikubali ulivyo
Umeona enhee atakua karith kwa Kaka yake tu huyu.[emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]yuko vzri mnoo!hajiogopi hata kidogo!
Huu ujumbe wa kwangu au jiran yangu?
Ahaa ndio nilikua nashangaa sasa nkasema lile limsambwanda lote kumbe sio lako?Wa jirani yako jamani kwani nishawahi kukutumia kituko
Umeona enhee atakua karith kwa Kaka yake tu huyu.
Weka picha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sio najidai ni bibi tukinao mm yote hii sitaki kukuchanganya kisaikolojia ukiniona unaweza kufwa ebu niache mie
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji3] [emoji5] atatumiwa ya kwangu ile km nimeachwa na gari!!!shunie mbayaaNajiamini lakini mpaka nikutumie picha yangu umshkuru sana Mungu kama sina mpango wa kuonana na wewe ukinilazimisha kuhusu picha kwakweli utapambana na hali yako kituko utakachotumiwa
Ha ha ha ha ha naishia hapa hapaNimerithi kwa baba angu si ndio nimemfanana hii sura