Jiamini wewe kiumbe hakuna kama wewe

Raynavero

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2014
Posts
38,375
Reaction score
56,096
Leo nataka niongee na wadada na wakaka msiojiamini kama mnaoga nje...kwenye kila kitu mwajishtukia!

Jamani hakuna kama wewe,wewe ni wewe na utabaki kua wewe!Amini wewe ni kisura kama mwanamke na wewe ni mwanaume wa kweli kwa wanaume...

Kwa nini kuanza kujiona hufai au labda weye hustahiki kua na Fulani,kitu Fulani au malengo Fulani?!kwani yule ni nani na weye ni nani?

Mbona sote tumeumbwa na udongo unaonuka tu na ndo maana tukifa DKK sifuri tunatoa harufu

Kwa nini hujiamini mpk mtu anakuomba picha watuma ya Beyonce? Wakati weye mwajuma hujui kua yeye anamtaka mwajuma sio Beyonce?

Kwa nini hutaki kukubali kua wakaa manzese badala yake wasema wakaa mbezi bichi?Kwani siye wa uswahilini sio watu hatuna hadhi?

Tujifunze kujiamini,kujikubali na kujiona wewe ni wewe na utabaki kua wewe...!!!

Hata km mfupi km kigoda ndo ushaumbwa hvyo,ufupi sio hoja hata kwetu wapo[emoji3] [emoji3] [emoji2] [emoji2] [emoji2] !!!!
Hata kama wanasema weye mbaya kwani kakuumba yeye?
Tujikubali na hali zetu na tupambane nazo[emoji2][emoji5] [emoji5] [emoji5] [emoji5] [emoji5]

Mpaji ni Mungu,aliyekupa wewe ndo kaninyima Mimi,kila kitu kipo kwa sababu!
 
Kuna watu hata ukikohoa wanahisi unakohoa kisa yeye yupo hilo eneo. Kuna watu kujiamini ni sifuri hata umsifie kiasi gani.
Sema hapo kwa kutuma picha za watu ngoja nanihii nimwambie aache huo mchezo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sio najidai ni bibi tukinao mm yote hii sitaki kukuchanganya kisaikolojia ukiniona unaweza kufwa ebu niache mie
mi nakutumia tu picha yangu ukitaka sijivungi hata
utakavyofikiria ndio ivyo ivyo sina hiyana mie si wanijuaga
 
Ujue unajisema mstari wa mwisho wa dada [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna watu hata ukikohoa wanahisi unakohoa kisa yeye yupo hilo eneo. Kuna watu kujiamini ni sifuri hata umsifie kiasi gani.
Sema hapo kwa kutuma picha za watu ngoja nanihii nimwambie aache huo mchezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…