Jiajiri kupitia hizo malighafi

Mkuu usafilishaji ni juu ya nani? Na vipi kuhusu mikoani mnafika?

Vipi kuhusu Tyre za baiskeli piki piki na bajaji je hazitakiwi?

🙏🏽🙏🏽🙏🏽
 
Inamana kilo sh. 70 hapo sijafika eneo LA kuuzia. Hela yote naicha kwenye usafiri.
 
Pm inagoma mkuu ...pls naomba contact nikuchki tuongee. ... thanks kama ombi lang utalijali...
 
Mkuu usafilishaji ni juu ya nani? Na vipi kuhusu mikoani mnafika?

Vipi kuhusu Tyre za baiskeli piki piki na bajaji je hazitakiwi?

[emoji1431][emoji1431][emoji1431]
Usafiri juu yako bila kujali unatoa wapi mzigo, chochote kinachoitwa tairi ni malighafi hitajika, zisiwe tu za mbao au chuma
 
Inamana kilo sh. 70 hapo sijafika eneo LA kuuzia. Hela yote naicha kwenye usafiri.
Picha nilizoweka ni mizigo watu wanaleta daily... Kumbuka sio lazina iwe tairi tena nzima. Ni tairi mbovu au mipira yake ya nfani au vipande vyake
 
Fursa gani hiyo imeonekana kwenye matairi au ni recycling.

#MaendeleoHayanaChama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…