Jiajiri kupitia hizo malighafi

Je una uwezo wa kupata tairi mbovu? Chakavu? Kubwa kwa ndogo?
Je unaweza kupata mipira ya matairi ama kamba zake?
Je unaweza kupata masalia yoyote ya tairi au hata chenga zitokanazo na kuchenjua tairi?
Je unaweza kupata soli mbovu za viatu?
Kiasi chochote kwa tani ...malipo si hapa..
Jiajiri kupitia hizo malighafi... Ni kama hizi hapa
Nicheki mimi tu settle terms!View attachment 1903231View attachment 1903232View attachment 1903234View attachment 1903233View attachment 1903235
Mkuu usafilishaji ni juu ya nani? Na vipi kuhusu mikoani mnafika?

Vipi kuhusu Tyre za baiskeli piki piki na bajaji je hazitakiwi?

🙏🏽🙏🏽🙏🏽
 
Inamana kilo sh. 70 hapo sijafika eneo LA kuuzia. Hela yote naicha kwenye usafiri.
 
Pm inagoma mkuu ...pls naomba contact nikuchki tuongee. ... thanks kama ombi lang utalijali...
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom