COMOTANG
JF-Expert Member
- Jan 6, 2021
- 2,131
- 1,808
Mkuu unatoa kiasi gani pale hata tone 5 yapoLete mzigo wa kutosha hata kama ni semi
Aina zoote hata ya tractor ukitakaPoapoa makubwa au madogo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu unatoa kiasi gani pale hata tone 5 yapoLete mzigo wa kutosha hata kama ni semi
Aina zoote hata ya tractor ukitakaPoapoa makubwa au madogo?
Mkuu nakuhitajiPoapoa makubwa au madogo?
Mzigo Tunaleta wapi mkuu?Kwa vigezo gani?
Nawezaje kuja inbox kwako mbona system inagoma??Karibu bila shaka
Mkuu usafilishaji ni juu ya nani? Na vipi kuhusu mikoani mnafika?Je una uwezo wa kupata tairi mbovu? Chakavu? Kubwa kwa ndogo?
Je unaweza kupata mipira ya matairi ama kamba zake?
Je unaweza kupata masalia yoyote ya tairi au hata chenga zitokanazo na kuchenjua tairi?
Je unaweza kupata soli mbovu za viatu?
Kiasi chochote kwa tani ...malipo si hapa..
Jiajiri kupitia hizo malighafi... Ni kama hizi hapa
Nicheki mimi tu settle terms!View attachment 1903231View attachment 1903232View attachment 1903234View attachment 1903233View attachment 1903235
Usafiri juu yako bila kujali unatoa wapi mzigo, chochote kinachoitwa tairi ni malighafi hitajika, zisiwe tu za mbao au chumaMkuu usafilishaji ni juu ya nani? Na vipi kuhusu mikoani mnafika?
Vipi kuhusu Tyre za baiskeli piki piki na bajaji je hazitakiwi?
Picha nilizoweka ni mizigo watu wanaleta daily... Kumbuka sio lazina iwe tairi tena nzima. Ni tairi mbovu au mipira yake ya nfani au vipande vyakeInamana kilo sh. 70 hapo sijafika eneo LA kuuzia. Hela yote naicha kwenye usafiri.