Jiadhari na uvamizi wa daladala Dar es salaam!!

Jiadhari na uvamizi wa daladala Dar es salaam!!

Nenda tena kajipange upya kutunga stori.
Konda amepigwa sana hata hujui kama atapona,
Huyo mwanajeshi anaangalia tu konda anapigwa kwa kiwango hicho cha wewe kutojua kama atapona na kuporwa pesa?
Mlipofuatwa nyinyi kupigwa ndo Mwanajeshi akawapiga wote hao watano na visu vyao??

Mmh!! Ngumu kumesa...

Afu anatuambia mmoja konda, dreva na mjeshi walibaki nae huku hajui kama konda alipona, itakuwa ni stori ya kufikirika hii
 
Jamani hebu mwacheni kumwandama yeye ameeleza kama alivyoona sasa wengine hamuamini, au mpaka yawafike mupate kipigo ndiyo mutaamini?

Kila mtu ana uwezo wake wa kuelezea jambo, wengine siyo ngwini.
 
jamani sipuuzie. Huu mchezo upo sana mjini Nairobi, Yaani wezi wanateka matatu mara nying nyakati za usiku. Mbaya zaidi huwa wakishapora kila kitu wanawavua na nguo zote, na kuwaacha in the middle on nowhere. Yaani usiobe. Inawezekana jamaa wa bongo wanacopy toka uko
 
Back
Top Bottom