jf_six....Amri ya Sita Ngumu Sana,

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Sep 2, 2011
4,873
1,216
Katika Amri kumi mungu aliwapa binadamu kupitia Mtume wake Moses...Jaman Amri ya 6 iko migongoni mwa watu,Amri ngumu hii..
 
Duuuuh zubeda leo umewaza nini? Unajiandaa kuivunja nini? Kama vip liwalo na liwe njoo ni kuno ng'oneze jinsi ya kuifanya rahisi.
 
Kila mtu anajua vipaumbele vyake na wewe hiki ndicho kipaumbele chako. Mungu akusaidie kwa maana ukiitekeleza amri ya kwanza mpaka ya tatu inakupa nguvu ya kutekeleza zingine zote.
 
Kila mtu anajua vipaumbele vyake na wewe hiki ndicho kipaumbele chako. Mungu akusaidie kwa maana ukiitekeleza amri ya kwanza mpaka ya tatu inakupa nguvu ya kutekeleza zingine zote.

Amri hii ngumu,ilimshnda adamu na eva..ije uwe wewe
 
Hivi hii amri bado iko valid?
Hakuna amendment? Manake Sir God akiloba stepu tu atajikuta peponi kabaki yeye na kina Mussa tu manake mmh! Kwa mawazo na matendo, hali sio hali!
 
Sikubaliani. Amri ngumu kuliko zote ni ya Nane; namaanisha inayokataa kusema uwongo! Wajameni hakuna asiyesema uwongo; hata wale ambao sasa hawana uwezo wa kuzini bado hawana uwezo wa kujizuia kabisa kabisa kusema uwongo. Tatizo la amri ya sita ni kwamba ili uitende ni lazima ushirikishe mtu wa pili - na hakuna siri ya watu wawili. Lakini uwongo mtu anaweza kuutenda kwa siri ya nafsi yake akiwa kijana nakazeeka hadi akafa bila kugundulika!
Ndiyo maana wahenga walisema AFADHALI MCHAWI KULIKO MWONGO; hawakusema AFADHALI MCHAWI KULIKO MZINZI!
 
Ubaya wa 6 ni kwamba hata ukitaman unakuwa umeshakamua teali mzee,mule mule
 
halaf sasa mpaka kuivunja kuna ka-process kareeeeef kweli kweli, lakini wap hako kaprocess wala hakakukatishi tamaa ya kubanjua, na wala hakakufany ukumbuke kuwa unadhamiria kuvunja amri, na hata ukikumbuka, bado haikuhusu.............
eeeeeh kweli hapa Sir God aliweka mtego.
 
Back
Top Bottom