JF_Mnafiki ni MTU wa aina Gani?

JF_Mnafiki ni MTU wa aina Gani?

Mnafiki akitoa ahadi hatimizi, akiaminiwa anahini na akisema husema uongo
 
ni mtu mwenye pili pili na limao tayari kwa kuliwa.
 
thanks my hubby

Wewe tena wangu wa ubani,we ndo chaguo langu,langu la kunifariji,farijiko hlo moyoni huleta furaha,furaha ukiwa nami karibu,karibu kabisa na Tabasamu la moyo wako.
 
Wewe tena wangu wa ubani,we ndo chaguo langu,langu la kunifariji,farijiko hlo moyoni huleta furaha,furaha ukiwa nami karibu,karibu kabisa na Tabasamu la moyo wako.

ahsante mume wng. Nanenepa kwa raha na manen0 matam
 
Back
Top Bottom