jf_Mjengoni....Mchezo wa Kombolela..

namna hii?
 
Attachments

  • ATT00063.jpg
    ATT00063.jpg
    73.6 KB · Views: 60
namna hii?
Heheeheh duh madame my sista hatarii kitu cha mafichooni. Mi nilikua sipendagi etii umewataja watu karibia woooteanabaki mmoja unalitafuta weeee au wawil basi sa zingne wanakuja woote wawil wanakuchanganya afu mmoja ana butua nilikua hadi nalia sazingine
 
Yani beibe nasty we acha tuu!!!
Afu dizaini kama wamebaki wawili kuna ule mtindo wa kubadilishana nguo,
basi anatokeza mtu huko kwa kujiamini kbs unamtaja kombolela Kibena!!,
kumbe sio Kibena wala nini,ni Asha kavaa blouse ya Kibena akifika anabutua,tunakombolewa.
KOMBOLELA ILIKUWA RAHA SANA JAMANI.

Ila watoto wa geti nahisi hawakupata raha hii.
 
Last edited by a moderator:

Yan yan yan madamee hapohapo aisee kubadilisha nguo nilikua nalia nakwambia mikonfidensiiii mie nataja kombolela babu aspirin kumbe bishanga looh wazinga teena bt kweli tuliopo uswahilin ndo tulifaid
 
Last edited by a moderator:
Watu lazima wabaki mwisho bila kujitokeza hawaonekani wamepotelea wapi, usiulize.
 
Wacha hiyo mambo kombolela inakaribia kuisha yani karibu watu wote wametajwa. Zikabaki mtu mbili hazijulikani zilipo, subiri wee huku umetumbua macho kila kona ili asije akabutua ghafla, tumechoka subiri ikabidi tumsaidie aliyekuwa anatega kuwatafuta hawa watu wawili.
Gesi nini tulichokikuta hawa wenzetu wanafanya..
 
Siku hizi hata hayo maeneo yanatoweka kila mahala viota (nyumba) zinaota kila kukicha hata sehemu inayofaa kuchezea kombolela hakuna! Kuna michezo mingi ya kitoto imetoweka siku hizi! Mara yako ya mwisho kukuta watoto wanacheza ukuti ni lini?
 
sikuhz hakunaga hiyo makitu. Watoto wanakazana na tuition...

weeee, tution wapi? Skuizi ni kucheza playstation na kiduku tu! Tution wangekuwa hajui kusoma na kuandika, hahaha! Matoto tundu ya kijinga sana sasa vivi bana.
 
KUNA KADEMU NLIKUWA NAPENDA KUJIFICHA NAJO, BASI TUTATAFUTWA MPAKA USIKU UNAINGIA, WANASHANGAA TUNATOKEA NA KUANZA KUIMBA! kunguru kasema kila mtu kwao kwao kwao, kidali poo kalale nacho! ilikuwa vinanoga aisee
 
Back
Top Bottom