jf_Gumzo....mjengoni Nawaitaji Zomba,Markj,ZeMARCOPOLO...

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Sep 2, 2011
4,873
1,216
Leo kwenye Jf Gumzo nawaitaji niliowataja hapo juu,Watueleze Mikakati yao ndani ya jamvi hili kila waamkapo.,
Na kabla hawaja log in huwa wanajiandae kujibu hoja zile zinazo ishambulia Serikali moja kwa Moja...
wazee wa Kukanusha Uwanja ni wenu...
 
we vipi tena na habari za siasa huku wasombe uwende nao kwenye jukwaa lao tusiharibiane mood
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom