jf_breakfast.....vitafunwa..

jf_breakfast.....vitafunwa..

Tuabarishane aina ya vitafunwa vinavyo shika Nafasi ya kwanza,
Kama kawaida yangu mi nalipuka vipande vya mihogo...bagia pemben..paja la kuku na mtori...

Tupia vyako...

kumbe mndambi wako ndio unakuwa kiivo..
 
Back
Top Bottom