Maana ya maneno yako haya hapa chini nimetafsiri ( [h=2]I Jf overlooking the friend of a good day to you[/h]真の友人が挨拶で始まり..このメッセージを読むすべての人のために、この成功した年
Sasa sisi ni wajapani? kwanini asitumie cha kwetu na huo ni aina ya ubaguzi
Miss Chagga naona umebadilisha avatar, ilikua nyekundu sasa naona ni ua la blue hiv.... ndo unamaana gani?
odı ızɐʞ ısɐq ɐʞɐʍɯ ɐǝʞǝɹǝɥsnʞ opu ɐɯɐʞ ?ɐnƃuızɐuɯ ɐuoqɯ
Jamani hiki kizaramo mbona mwatuacha hoi hapa naona maandishi kama maua khaaa hii ndio staili ya 2014 tusubiri na ya 2015 sijui itakuaje真の友人が挨拶で始まり..このメッセージを読むすべての人のために、この成功した年
Najua kama kawaida wengi wetu tutapiga kelele saaaana kuhusina na hili jengo, ila limeshajengwa!![]()
Mimi ningependa kusikia hoja za mtu YEYOTE YULE tafadhali, anayeweza kueleza huu umati sababu za kugharamikia ma millioni ya fedha ili kujenga hili jengo la kifahari!
Sawa tutalalamika, lakini nakataa kukubali kwamba viongozi wetu ni wajinga, na wabinafsi kwa kiasi kile ambacho sisi humu ndani tuna waelezea! Hivyo basi natoa wito kwa yeyote yule aje na ku justify this one move by the government. (Ila hii ilipitishwa wakati wa BWM)
fikiraduni, mzee wa kuangalia pande zote, pande ya pili ya hii kitu ni nini? Viongozi hawawezi kuwa wanyama hivi!
Inauma sana kwasababu hospitali hapo hapo siko hivi...
![]()
Aaa mi sijui, nyie wanawake ndo mnaelewa zaidi kuhusu mauammh kama unajua maana za rangi ndo unaweza nisaidia me napenda maua katika pita pita kwenye mitandao nikakutana na ua la ble nimelipenda embu nisaidie l
watu8 ... kuna watu humu na wao wanajifanya mafundi wa lugha wanajibu kwa Kichina & Kikorea, hawajui kuwa maandishi ya Kijapani, Kichina na Kikorea ni tofauti!
Eurekaa I got it "Blue Flowers:mmh kama unajua maana za rangi ndo unaweza nisaidia me napenda maua katika pita pita kwenye mitandao nikakutana na ua la ble nimelipenda embu nisaidie l
Eurekaa I got it "Blue Flowers:
The symbolism of blue makes me think of that line in the movie Outlaw Josey Wales when Sandra Locke's character observed clouds were like "dreams floating across a sky-blue mind." That's precisely what blue symbolizes - the clarity found in our dreams, thoughts, and imaginations. The color blue speaks to the dreamers in our world, and blue flowers are the perfect gift to call out the muse in the poet, artist or musician in your life. Or, gather up a bunch of blue flowers when you need a boost of inspiration. They are also the perfect hue for enhancing calm and tranquility."
haya maandishi yameandikwa jeee