inbox na maspam ya kichina

inbox na maspam ya kichina

LAT

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2010
Posts
4,400
Reaction score
1,317
wataalam

mimi inbox ya e-mail yangu inashambuliwa sana kwa kuingia mails za kichina nyingi , yapata hata mail 60 kwa siku

naomba ushauri nifanyeje kuzuia hii hali

asanteni

mfano wa hizo mails ni hapa chini

≪二階堂 琴音≫さん(29&#25165😉からメールです。 ■■タイトル■■ サイトから聞いてます[揺れる心][アセアセ]もしゲストさんが ↓写真のURL↓ http://all-ure.vc/photo/lI.3.95.40.19B.0F.jpg?1318925282 返信はこちら http://all-ure.vc/t/mailbox.php?id=3687201&pass=7431∣=258769090&m=detail
 
Back
Top Bottom