Hapa kuna JF kuna wataalam wa lugha, potiticians, lawyers, theologians, academics, comedians, counselors, medical doctors, wasanii etc. Hapa ni kiboko.
Hapa kuna JF kuna wataalam wa lugha, potiticians, lawyers, theologians, academics, comedians, counselors, medical doctors, wasanii etc. Hapa ni kiboko.
ni kweli mkuu,
ndio maana unapokuwa hapa unajifunza mengi lakini pia forum inakushape ujue nini cha kuongea na wapi unakitoa. umakini na ufasaha. ni sawa kuwa katika kundi la watu usiowajua na kuanza kupayuka bila kujua wanaokusikiliza wanajua nini. mimi nimejifunza mengi sana hapa. ndio maana napapenda.