VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,004
Viko sawa Kamanda. Kuitisha inamaana imesababisha uitishwe. Usijali Kamanda...lakini heading na content haviendani unaweza kurekebisha?
Fasihi Mkuu...Sio JF walioitisha bwana, ni uongozi wa chuo..
Sio JF walioitisha bwana, ni uongozi wa chuo..
lakini heading na content haviendani unaweza kurekebisha?
Fasihi Mkuu...
sio fasihi mkuu
hapa kwako ni semantiki mambo yote yanayohusu utungaji wa sentensi na maana zake na utata wake
mfano juma anapaa, anapaa juu anapaa samaki, JF yaitisha mkutano UDSM , jf imeitisha yenyewe au imesababisha kuitishwa kwa huo mkutano.
sarufi ni kanuni na taratibu za lugha mf. juma anakwenda shule, sio juma wanakwenda shule
fasihi andishi ni uandishi wa kazi ya sanaa inayozaa mashairi riwaya na tamthilia ya kwako si riwaya,tamthilia wala ushairi.
mf
vuta nikuvute,shetani msalabani,pesa zako zinanuka, shida, kivuli kinaishi, miradi bubu ya wazalendo, janga sugu la wazawa, mashairi ya chekacheka na shaban robert,barua ndefu kama hii,dunia uwanja wa fujo,zawadi ya ushindi. mfalme juha,ngoswe kitovu cha uzembe,rosa mistika,dar-es-salaam usiku,alfu lela ulela,morani, kaptula la marx na kizibao cha lenin. na vingine vingi
Akhsante kwa somo wengine tumepata japo kidogo.
Ongeza na Ushahidi wa Mifupa, Siti Binti Saad,Hiba ya Wivu na Malenga Wapya.Asante Mkuusio fasihi mkuu
hapa kwako ni semantiki mambo yote yanayohusu utungaji wa sentensi na maana zake na utata wake
mfano juma anapaa, anapaa juu anapaa samaki, JF yaitisha mkutano UDSM , jf imeitisha yenyewe au imesababisha kuitishwa kwa huo mkutano.
sarufi ni kanuni na taratibu za lugha mf. juma anakwenda shule, sio juma wanakwenda shule
fasihi andishi ni uandishi wa kazi ya sanaa inayozaa mashairi riwaya na tamthilia ya kwako si riwaya,tamthilia wala ushairi.
mf
vuta nikuvute,shetani msalabani,pesa zako zinanuka, shida, kivuli kinaishi, miradi bubu ya wazalendo, janga sugu la wazawa, mashairi ya chekacheka na shaban robert,barua ndefu kama hii,dunia uwanja wa fujo,zawadi ya ushindi. mfalme juha,ngoswe kitovu cha uzembe,rosa mistika,dar-es-salaam usiku,alfu lela ulela,morani, kaptula la marx na kizibao cha lenin. na vingine vingi
pasi shaka twaongea lugha moja. nashukuru mkuu.Ongeza na Ushahidi wa Mifupa, Siti Binti Saad,Hiba ya Wivu na Malenga Wapya.Asante Mkuu