JF yakanusha kutumiwa na CDM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JF yakanusha kutumiwa na CDM

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kimbweka, Apr 20, 2011.

 1. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #1
  Apr 20, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Nimekumbana nalo hili katika vyombo vya habari (gazeti la majira ) kama sikosei. Hili mnalionaje wakuu? Ni kwamba CCM imeona ukweli unaojadiliwa humu na kufikiri ni CDM wamewatuma wana JF ama VP? Bado linanipa mshangao mkubwa
   
 2. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #2
  Apr 20, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,141
  Trophy Points: 280
  Chama cha Magamba wanapatatapa. Waache waongee hadi wachoke.
   
 3. M

  Mabulangati JF-Expert Member

  #3
  Apr 20, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 779
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Mimi ninachokiona na nataka kuamini ni kwamba wanaoiunga mkono JF ndiyo wale wanaotaka na kufadhili CDM ifanye vurugu nchini badala ya kujenga nchi hawa ni Ubalozi wa Denmark hapa nchini kupitia Global Forum Tanzania na Action Aid. Ila JF haiwezi kutumiwa na CDM bali inaweza kutumiwa na Action aid kwa maslahi yao.
   
 4. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #4
  Apr 20, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Lakini mbona wana JF wenyewe kuna mchanganyiko na wa watu tofauti na wa itikadi tofauti za kisiasa na haina sehemu imeegemea sana chama fulani ila nakumbuka tu kwamba kipindi tukielekea uchaguzi kulikuwa na sehemu ya kupiga kura kama changamoto kuona ni nani anatbirwa kushinda zaidi katika uchaguzi mkuu wa TZ na ambapo Mheshimiwa wa CDM alionekana kuwaacha mbali sana wapinzani wake au hili ndilo limewakwaza hawa jamaa?
   
 5. Susy

  Susy JF-Expert Member

  #5
  Apr 20, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 1,450
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  naichukia CCM , naichukia CCM ,naichukia CCM !!!!
   
 6. vengu

  vengu JF-Expert Member

  #6
  Apr 20, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 518
  Likes Received: 214
  Trophy Points: 60
  wazee wa gamba hawana jipya...its too late!!!!!!!!!!
   
Loading...