Jf Yabinafusishwa..... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jf Yabinafusishwa.....

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Dachr, Mar 12, 2012.

 1. Dachr

  Dachr Senior Member

  #1
  Mar 12, 2012
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 110
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Majira ya saa moja kikao kilianza rasmi mpaka sasa kinaendelea kwa muda usiojulikana.Mada kuu ni kuibinafisha jf kwa magamba ili Ipunguze kuanika ouvu wao.kwa wenye pingamizi nilazima uwe cv inayosupport mgomo wa madaktari naupinge toka moyoni kuhusu udhalilishaji wa Mkulu kuhusu madaktari.Nasubiri mshikamano Wenu kwenye majukwa yafatayo:Great thinker,jukwa la siasa,hoja mchanganyiko na nk.
   
 2. Deejay nasmile

  Deejay nasmile JF-Expert Member

  #2
  Mar 12, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,916
  Likes Received: 656
  Trophy Points: 280
  Kila la kheri
   
 3. Mpui Lyazumbi

  Mpui Lyazumbi JF-Expert Member

  #3
  Mar 13, 2012
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 1,853
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Umerudisha vitu vya malima?
   
 4. Dachr

  Dachr Senior Member

  #4
  Mar 14, 2012
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 110
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Si turishkiana wote kuvichukua.Anza wewe na mm ntafata.
   
 5. M

  Midavudavu JF-Expert Member

  #5
  Mar 15, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 285
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Umeamka au bado unarara?
   
Loading...