Powell Gonzalez
JF-Expert Member
- Jun 28, 2023
- 1,662
- 3,017
Pia teknolojia ni tofauti.Sasa hivi wanataka kutua kwenye dark side of the moon
Artemis 3 ni mission ya kwenda kutua sehemu ya mbali zaidi ya mwezi siyo ile ya Apollo 11-17. Wamepita huko jana na hakukuwa na mawasiliano na duniani kwa takribani dakika 40.I'm not much of technologist lakini I'm confused.
I can’t claim that the Apollo 17 mission in 1972 was fake, since I have no proof and that would just be an emotional argument. However, I’m curious: if humans were able to land on the Moon with the technology available in the 1970s, why is Artemis II only planned to orbit the Moon instead of landing—despite the significant budget and advanced resources involved? If Artemis II is just a test mission, and Artemis III is intended for landing, what exactly is being tested now that was already achieved decades ago?
Siku hizi una case study nyingi sana mkuu..Brother K anakwambia,
Sasa ulikuwepoo?
🤣
Tupe historia kidogo, ya Apollo nayo ilifanya majarobio kama haya kabla ya kutua?Artemis 3 ni mission ya kwenda kutua sehemu ya mbali zaidi ya mwezi siyo ile ya Apollo 11-17. Wamepita huko jana na hakukuwa na mawasiliano na duniani kwa takribani dakika 40.
Walifanya hivyo mwaka 1968. Kabla ya hapo walijaribu hawakufanikiwa wanaanga wote watatu walipoteza maishaTupe historia kidogo, ya Apollo nayo ilifanya majarobio kama haya kabla ya kutua?
asante kwa elimu chiefWalifanya hivyo mwaka 1968. Kabla ya hapo walijaribu hawakufanikiwa wanaanga wote watatu walipoteza maisha
Sawa mkuu, My question is what are they testing kama walifanikiwa 1977How long did they take to land for the first time on moon?
Apollo 7&9, Earth orbit test mission
Apologies 8&10 Lunar orbit mission
All these missions did not have any landings, they were orbiting earth and lunar without landing on moon.
Also, take note that NASA had missions of Apollo 1-6, these missions were primarily for testing the tech.
Wazungu sio kama sisi, a few tests, a few failures but in the end they succeeded to land on moon. Now that they have embarked on another mission, usitarajie waanze tu straight to the moon,
Hizi mi missions mbili tofauti, ile ni Apollo na hii ni Artemis. Objectives ni zile zile ila technology ya 1969 na 2026 ni mbingu na ardhi. Wamekuambia by 2028 watatua tena mwezini. Kwangu naona ni sawa kabisa.Sawa mkuu, My question is what are they testing kama walifanikiwa 1977
Okay, thanks for clarifyingHizi mi missions mbili tofauti, ile ni Apollo na hii ni Artemis. Objectives ni zile zile ila technology ya 1969 na 2026 ni mbingu na ardhi. Wamekuambia by 2028 watatua tena mwezini. Kwangu naona ni sawa kabisa.
Iliwachukua Apollo 1-10 ndipo wakatua mwezini mkuu. Au ulitaka wakurupuke.
Kama ilitua Apollo 11 inamaana kulikuwa na Apollo 1 mpaka Apollo 10 za majaribioTupe historia kidogo, ya Apollo nayo ilifanya majarobio kama haya kabla ya kutua?
Bila shaka, kama ilivyo anza Artemis 1Kama ilitua Apollo 11 inamaana kulikuwa na Apollo 1 mpaka Apollo 10 za majaribio