Mie ni mwenyeji wa huko ila kwa sasa naishi dar subiri kwa walioko uko watakujuza
Sawa mkuu ila sio mbaya ukiniunganisha na yeyo alie mwema nikipata hotel ilio karibu na maaneo ya posta itakuapoa sana ili jioni iwerahic kwenda beach
ogopeni ebolaaaaahabari wana jf nipo safarini kwenda tanga kusalimia ndugu na kumpumzisha akili kidogo aliyopo huko si vibaya kufahamiana,kwa wa dada naomba nipate wakunitembeza katika hizi siku alie na nafasi ani pm karibuni.
Maana yako mkuu nini?mbona Bongo ebolaaa bado
Ya kutumia ipo mkuu sipajui hapo nyindaNenda nyinda utapata wenyeji kibao, anzia hapo ukikosa sema nikutumie namba zao??? Lakini hela ipo kamanda?
ndo atanogesha mapumziko mkuuLazima awe mdada ndio akutembeze....?
Waja leo warudi leo e...
Fanya ugeuke haraka iwezekanavyo.Nam nimefika nashukulu ila nalala siludi kwanza
Kuna dalili ya wewe kurudi Dar na mwenzioHuenda nikageuka kesho au keshokutwa