Kiranja Mkuu
JF-Expert Member
- Feb 18, 2010
- 4,067
- 4,103
huku hamna swaga za ujinga wa fiesta na clouds fm, wala hamna uzushi kama ule wa global publisher
<br />watu wengi wanshindwa kuelewa hivi vitu kiana fb ina kurahisishia kukutana na watu kibao uliopotezana nao na jf yenyewe ina kufanya ufahamu mambo mengi ya maendeleo na vitu vinavyo kuhusu wewe so zote ni mitandao ya jamii..
Jamani labda mi ndio mshamba kabisa. Nilijiunga na facebook tangu mwaka juzi, huko naona kumejaa ujingaujinga na usharabaro, kila mtu anakutaka. Hapa Jf sina muda mrefu lakini nina furaha na amani, napata changamoto mbalimbali, najifunza mambo mengi na yenye manufaa.
Wadada wenzangu wao wako busy na facebook, ukiwauliza wanaenjoy nini wanasema kuchat, ukiwaambia habari za JF wanasema we Ambilikile kweli (mshamba).
Sasa mshamba sijui ni mimi au wao ambao hawabenefit kitu. Jf is a place to be, thats why niko online kanzia asubuhi hadi usiku mzito.
I am the luckiest one kuwa miongoni mwa wana wa hii familia kubwa ya JAMII FORUMS
Nipo fb na sidhani kama na mpango wa kuondoka,., ila kule kwaajili ya kuchat 2 na washkaji hamna cha maana chochote ninachopata zaidii ya hicho. Ila hapa JF,., sikufikiria kama kuna siku nitawadha kuondoka,. kuna kipindi nilikuwa na tatizo nikalianika fb,., hakuna hata mmoja aliyenipa ushauri zaidi ya lie 1,. ila ku2pia hapa peponi dah,., msaada nilioupata ni mkubwa nashindwa hata kuuelezea,. GOD BLESS JF
Kule FB ulikuwa unatumia ID gani?
Hapa nimefurahi kuijua jinsia yako....siku zote nlikuwa natamani niijue jinsia yako.
Tukirudi kwenye mada....ni makosa na hatari kubwa sana kuzilinganisha FB na JF.......Vitu viwili tofauti kabisa! Ni sawa na kulinganisha JWTZ na Mgambo wa City.