JF vs FACEBOOK

kulinganisha jf na fb ni sawa na kulinganisha mlima kilimanjaro na kichuguu.mia
 
Nakumbuka kuna jamaa yangu mmoja 'alimtokea' mdada kama leo,
kesho 'akamaliza mambo'.
Yaani wengi kule wako 'kibiashara' zaidi
 
To you it is...to me it‘s not.Kwanza na mimi ndio zangu...kwanzia vidole..unyayo..miguu...shingo..masikio..lips mpaka macho naweka.Acha wanaopenda wafurahie bila wewe kusema ‘it‘s ridiculous‘ maana ni kama vile unaona unachofanya wewe ni cha maana zaidi.Kitu ambacho kinaweza kua ni kweli kwako ila sio kwa kila mtu.
 

Dada Mda gani uwa unafanya kazi if ukiwa online asubuhi hadi usiku mzito??? JF ZAIDI
 
haha haya bana we all differ in some sort bana,you like girly stuff i love manly stuff,you like Fb i don't and you can't change my mind neither can i change yours,ibaki hivo 2. Cant u feel the connection in here...
 
haha haya bana we all differ in some sort bana,you like girly stuff i love manly stuff,you like Fb i don't and you can't change my mind neither can i change yours,ibaki hivo 2. Cant u feel the connection in here...
Well assuming i‘m not wrong when I assume YOU ARE a man... i would be surprised if you were into girly stuff..La msingi ni kutoona chako ni bora/muhimu kuliko cha mwenzako maana huwezi jua hiyo FB inamfaidisha vipi yeye.Ummm what connection!
 
Mimi pia nilikuwa napoteza sana muda wangu fb lakini toka dadaangu aniambie nijiunge huku kule kwa kitoto tena sijarudi tena. Nafurahia sana maisha ya humu kwanza napata nafasi ya kufahamu mambo mengi sana ya msingi kabisa.Fb watu wanatongozana tu.
 
watu wengi wanshindwa kuelewa hivi vitu kiana fb ina kurahisishia kukutana na watu kibao uliopotezana nao na jf yenyewe ina kufanya ufahamu mambo mengi ya maendeleo na vitu vinavyo kuhusu wewe so zote ni mitandao ya jamii..
 
Facebook na Jamiiforums, zote zina muhimu wake! Jf, inatusaidia kujua mambo mengi na siasa zetu za Tanzania imetoa mchango mkubwa kuwafumbua Watanzania, FACEBOOK inatusaidia zaidi kwenye mambo ya mawasiliano kimataifa kwenye mambo ya kikazi na kijamii sio wote wanauza sura huko! Ndio maana utakuta viongozi wetu na watu mbalimbali wanaoheshimika duniani wanawasiliana na watu wao! Nchi kama Misri na Tunisia wanajua faida ya kujiunga Facebook
 
sure thing,hata mm i have to admit it huwa bado naingia FB sababu kuna vi2 flan kule huku cwezi vipata,kweli kule kunakutanisha watu,na other interesting things like knowing personal infos za marafiki zako which in most cases are true ukilinganisha na hapa! Ila ile situation JF kulia FB kushoto,JF ndo choice!
 
am at the technical bench having some wine.so let the battle begin.
 
Its like orange Vs mango battle
 
You can't really compare JF with Facebook which is a social network. The difference is too obvious to bring it up for discussion. Try twitter versus facebook or hi5 vs facebook or myspace vs facebook. But not JF.....
 



hAWJUI WAQLITENDALO.
 
You are very righ madam. ni kujiweka uchi na kutongozana pengine ni ulimbukeni au kukosa sehemu za kujitangaza. kibaya zaidi hawatumii inbox wanatumia WALL kuandika mauchafu yao utadhani wamerogwa. kiasi kwamba hata kama kuna mtu unamuheshimu huwezi hata kufungua face book maana ile lay out tu inatisha kwa picha na maneno machafu na usiombee akawepo mke wako karibu.
Kwa kweli jamii forums hata mimi nimeikubali na kwa sasa natumia muda mwingi sana kupata vitu vipya kupitia hili blog. Mungu awabariki wanajamiii wote. amin
 
JF bonge la site kila siku naongeza ujanja yani noma FB yakupoteza mda 2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…