JF vs FACEBOOK


God bless JF and keep it strong forever. That is my daily morning pray
 
Nasjaz asante sana kwa kuwa unafunga na kuomba kwa ajili ya kuiombea JF. Hata maandikoi yanasema wamebarikiwa waiombeao Israel. JF ni Taifa kubwa kama Israel
 
Nipo FB kama miezi 6 sasa, hakuna la maana huko, wamejaa watu wenye fikra mgando, ukitoa hoja wanashambulia mtoa hoja! Wachache wanaofikiri kwa kina, japo wanazid kumezwa na ujinga wa huko. Ni mwezi sasa toka nijiunge JF, Najiuliza nilikuwa wapi, siku zinavyokwenda nazidi kuwa makini, naweza kusimama mbele za watu na kujenga hoja za msingi. Huko fb kuna status kama " i love u" "nimechoka", na watu kibao wanacomment. Jana nimewapelekea habari za dodoma na karimjee, wamebak kutoa macho. Kizazi kinaharibiwa huko Fb.
 

kweli kabisa unayosema lakini Advantage moja ya facebook.. unaweza ukakutana na profile ya swahiba au mtu uliyepotezana naye kitambo saaana, na nimekutana nao wengi sana kule.
 
Facebook?!
Mambo yote Jf.
Fb mapenzi zaidi single unit. Unprogramed memberz.
Jf complex unit covers all spheres of life. Programed.
 
kweli kabisa unayosema lakini Advantage moja ya facebook.. unaweza ukakutana na profile ya swahiba au mtu uliyepotezana naye kitambo saaana, na nimekutana nao wengi sana kule.

hii ni kweli
 
Facebook?!
Mambo yote Jf.
Fb mapenzi zaidi single unit. Unprogramed memberz.
Jf complex unit covers all spheres of life. Programed.

nafikiri ukiweza kutofautisha kati ya Bulletin board system - Wikipedia, the free encyclopedia na social network utapata jibu. All in All JF raha, habari za kitaifa, kmataifa, michezo, hata kwa wanaopenda pumba ":chit-chat:" pia nafikiri JF ni kipimo cha uvumilivu, mara nyingi anatokea mtu thread hajaisoma na kuilewa , anamwaga pumba ambazo hata ngo`mbe hali.
 
Hapa ndio nakomaga na watizedi.....wanaojiita ma great thinker....

kama mpaka leo huwezi kutofautisha forums na social network kama facebook,twitter,tagged etc...


tofauti na facebook
---from wikipedia.....
 
Nimependa hapo kwenye nyekundu mkuu.
 
Sio tu tunaishia kuisifia JF je! TUNAIWEZESHA?
 

Aspirin, fafanua mgambo wacity ni yupi na JWTZ ni yupi....
 
Kuweni waangalifu na hizi forums na social networks are forms of an addiction na watu wengi wamefukuzwa kazi hivyo basi msisahau kufanya kazi kwa faida ya familia zenu. Hapa JF na kule FB hamlipwi mshahara hivyo kushinda siku nzima sio fahari au kusema unakaa wiki nzima humu sio sifa hii ni sehemu ya kupumzikia, kubadilisha mawazo hamna zaidi of course na kupima unachokizungumza usije kuvunja sheria tu.
 
Cha muhimu ni matumizi ya mtu mwenyewe kwani kila mtu na mtazamo wake na upeo wake hivyo kama humu umeona unanufaika zaidi kuliko FB basi wapaswa kukomaa zaidi. Karibu sana.
 
Gud advoce. Food for thoughts
 
Im so new to this social media ,one of my stuff was discusing some important issues and i asked him where do you got all these infor....,said its Jf , u make me lough,angry ,a lot of breeking news im wondering that i woke up with jf n sleeping with it,I LOVE JF.
 
Nilijiunga FB lakini baada yakuona ujinga mwingi nilijitoa...sikubahatika kuona faida yoyote ukilinganisha na JF...

Nakuunga mkono, FB ilinikatisha stimu muda mrefu, hamna la maana kumejaa upuuzi tu. Mtu anamtumia rafiki yake msg wanafanya kazi ofisi moja, what for? kwani simu haitoshi kutext? kwa waliowengi najua huduma za internet hawana home kwa hiyo wanatumia muda mwingi wa saa za kazi kuchat upuuzi, afadhali hata jf unaweza ukawa na justification kuwa unapata habari za maana ijapokuwa sio wakati wote maana kuna upuuzi hmwingi ti humu pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…