Mkuu wewe ni mzee wa witiri.
Ulichonifanyia mungu apendiMalizia pm.
Nakushitak Kwa ZeroNimekufanyia nini?![]()
Nakushitak Kwa Zero
Mm nilikuwa nimetega Mingo nikaacha lakin sawa tuNimekuelewesha vizuri, ngoja nifanye mpango kama utawezekana itakua poa.
Mm nilikuwa nimetega Mingo nikaacha lakin sawa tu


Kaka kisu cha ngariba kaniambia ananitumia Vocha wakat mm nilkuwa nimetega Mingo hapa kwako na Vocha hajanitumia na Mingo yangu mtego umeharibika nalia mm Leo mb kifurushi kinakataNishtakie basi

Pole sana njoo Pm nikuchezeshe game la peke yakoKaka kisu cha ngariba kaniambia ananitumia Vocha wakat mm nilkuwa nimetega Mingo hapa kwako na Vocha hajanitumia na Mingo yangu mtego umeharibika nalia mm Leo mb kifurushi kinakata![]()
![]()
![]()
![]()