Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,585
Hahahaa sipati picha ukifungiwa uliposhinda
Sema line waliyoifunga ni line ya mpango wa kazi, na hii January bora huo mpango ukinitafute usinipate.
Hahahaa sipati picha ukifungiwa uliposhinda
Sema line waliyoifunga ni line ya mpango wa kazi, na hii January bora huo mpango ukinitafute usinipate.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Kwa hiyo umeokoka mkuu
Hongera1025183720089
Nimeshika Sm za mitandao yote
Niko poah nasubir vochaUko poa mrembo?
Niko poah nasubir vocha
Nakutumia kama Vocha umalizie namba ya mwishoNataka nikuongezee vocha, naomba namba yako.