JF Valentines Day

Ntemi Kazwile

JF-Expert Member
May 14, 2010
2,182
307
Napendekeza tuandae JF Valentine's Day. Najua kuna wengi wamekutana kupitia forum hii na itakuwa fresh sana kuwaenzi waanzilishi wa jamvi hili kama tutakutana wapendanao wa JF na kufahamiana zaidi

:msela:
 
Mh wanyumbani hii itakaa sawa kweli? maana siku hiyo wengine wanaiona spesho kiasi wanataka wakae na wapendwa wao tu, wengine wanaiona poa tu. kwa nini msitafute siku ingine mkapanga kitu kama hichi?
 
kwel hlo linaumuhmu ila vp cc 2co kuwa na valentine wowote na wewe uliokuwa nao zaid ya m1 hauon kama ni UFISAD wa wapenz ila co ishu happy valentine pipooo
 
Ha ha haaaa, hapo patamu.....unao wa3 halafu wote wanataka mtoke siku hiyo!!!!
 
Mh wanyumbani hii itakaa sawa kweli? maana siku hiyo wengine wanaiona spesho kiasi wanataka wakae na wapendwa wao tu, wengine wanaiona poa tu. kwa nini msitafute siku ingine mkapanga kitu kama hichi?
Wazo zuri, ila itangazwe mapema ili hata waliombali wajipange kuja!!!
 
:A S thumbs_down: Hiyo haijakaa vizuri! JF ni kubwa sana, sijui itawezekanaje kutukutanisha wote! Mimi nafikiri online meeting 'd be feasible option, maana unapofikiria JF U need to think beyond Dar, Tz, EA or africa!
 
kwel hlo linaumuhmu ila vp cc 2co kuwa na valentine wowote na wewe uliokuwa nao zaid ya m1 hauon kama ni UFISAD wa wapenz ila co ishu happy valentine pipooo
valentines day ni mtu yoyote mama yako, dada yako, bibi yako ni siku ya wapendanao sio siku ya wapenzi unaofikilia wewe peke yake
 
Idea nzuri kwa watakaoweza na wasio na wapenzi au walioko mbali na familia.....kukutana ku-have fun si kitu kinachoshindikana kuliko kudorora nyumbani wenzio wote wako dinner we na TV au na laptop......l.o.l
 
Ana zaidi ya wanne?.....ngoja nksiwataje.....hehehehee.

Michelle karibu tufurahie valentine pamoja...au wasemaje bana.

Biggie mi siwezi kataa mualiko kutoka kwako........nashukuru na nimeupokea na nitakuwa nawe.....mpenzi hatuelewani so si mbaya tukajumuika wote........:roll::roll:
 
Tupo wana JF ambao ni Singlez so sio mbaya- Ntakuwepo Dar nna ningependekeza tukutane Rose garden au wadau mnamaoni tofauti?
Mh wanyumbani hii itakaa sawa kweli? maana siku hiyo wengine wanaiona spesho kiasi wanataka wakae na wapendwa wao tu, wengine wanaiona poa tu. kwa nini msitafute siku ingine mkapanga kitu kama hichi?
 
Idea nzuri kwa watakaoweza na wasio na wapenzi au walioko mbali na familia.....kukutana ku-have fun si kitu kinachoshindikana kuliko kudorora nyumbani wenzio wote wako dinner we na TV au na laptop......l.o.l
Safi, sisi tusio na wapenzi hebu tufanye lojistikx. Tv na laptop hailipi siku ya valentine
 
Biggie mi siwezi kataa mualiko kutoka kwako........nashukuru na nimeupokea na nitakuwa nawe.....mpenzi hatuelewani so si mbaya tukajumuika wote........:roll::roll:
Orait, naona chipukizi kashatoka vitani basi tutajumuika kwa storee, maulabu, mamiuziki na makazalika baada ha kuwa hi.....if it happens blame the pot...God gave it to us for free.
 
Chipukizi na hiyo miondoko yake mbona kazi itakuwepo baada ya kinywaji kufika mahali pake,tutahakikisha inakuwa zaidi ya wenye wapenzi wao wa muda mrefu walioisha chokana....l.o.l
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom