Jf undeni mfumo wa direct chart kama fb,

Jf undeni mfumo wa direct chart kama fb,

Kwa maelezo yako ni kuwa;
1. JF haijaendelea!
2. Unakuja JF kutafuta demu.
3. Kwani huko "fb" uliko hakuna social network kama hizo zinazoweza kukusaidia ku "chart"?

Halafu umesema kwa watu kama "ninyi," kina nani? Pili, ufisasi unaouongelea hapa ni upi?

Hafi sasa tu, ma- Great thinker huku ndani ni wakuhesabika(na Tafadhali wakuu, tusianze topic nyingine GT ni nani)! Sasa iwapo utatuchanganyia na "mfumo huo wa direct chart kama fb" itakuwa tabu zaidi ya sasa.
.
Halafu mkuu nadhani kizungu nilifundishwa 'chat' vile?
Na kiswahiki nilifundishwa 'suala'.

daah,hapa unajiona umekata nyangaaaaa kwel....

upupuuu mtupuuu😛ound:
 
Me mwenyewe sijui pakuaandika post ni wap japo nipo mda (japo si mref saana) nmetafuta sijapaona au kwasababu natumia nokia c1??heb nielekezeni mdogo wenu
 
Back
Top Bottom