JF Udaku: Toleo la Mei 2012

He he he, pole bana, simtaji najua na wewe usije ukaniharibia uwanja wangu wa kule.


Hata mie nimeshangaa, kaanza lini shule?
Konnie wewe unamjua ni nani? Embu naomba umbea!!
 
Hatimaye siri ya TANMO kutembea kifua wazi yabainika,kumbe ni masharti ya mganga wake aliyemdanganya kuwa akikaa bila kuvaa shati miaka miwili atateuliwa kuwa mods wa jukwaa la mambo ya kikubwa,

Na kwa taarifa za muda huu ni kwamba hata alivowataja wakuu hapo Paw na Invisible ni katika kuwakumbusha ombi lake la kupewa u Mods wa jukwaa la mwisho,habari kamili uk,wa mwisho.
 
Last edited by a moderator:
Hahaha hahah hahah uwiiiiii jaman lol!

Hatimaye kilichomtoa Bishanga mkuku huko unga limited cha bainika,inasemekana ni baada ya kushindwa kutwanda mpunga kikamilifu,habari za kuaminika zinasema kadhia hiyo ilimfanya arudi kwa magoti kumbembeleza Kongosho ambaye alimkuta yuko kwa Asprin anakula raha na kuishia kuanzisha uzi wa msako.......................!!
 
Usikose JF udaku la kesho ugundue sakata lililosababisha Husninyo kubadili jinsia na kuwa Mama Ashrat ghafla.
 
TANMO na Bishanga msipokanusha uzushi wenu mlonizushia ODM wa wajukuu, kesho asubuhi nahamishia vikojoleo vyenu usoni. Mtakoma kama mna vibamia visivyotahiriwa. Msijesema sijawakanya... Shauri zenu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…