HABARI KAMILI:
na mwandishi maalum
-Baada ya
Kongosho
kuchoropoa mimba ya
Asprin,mmewe
ajua,amtwanga talaka na kibondo juu,yuko icu.
-Mama Matesha naye ainyaka live,ammmwagia
Asprin
maji ya betri,uso nyanganyanga,yuko icu
-@Nyagi ngabu amkosa bishanga risasi,kisa wivu,atiwa nguvuni na kubondwa
na manjata,yuko icu
-@Cantalisia amfumania rejao na Amyner,amnyofoa
rejao korodani Rejao hoi,yuko icu
-@Husninyo amlipua babu DC hadharani,asema ndo alimpa kideti
Babu DC apata mshtuko,yupo icu
-Bishanga akaribishwa kwa bashasha unga ltd,aenda usiku,atumbukia kwenye
mtaro,kiuno hoi,yuko icu
-Kloro afoji cheti cha ndoa ili alipwe nauli kazini,adai yeye ni mmewe
Preta,preta agundua,ampa za uso,yuko
icu
BT,mwaga udaku,si nasikia kuna mahali TF jana kaonekana majirani na nyumbani kwako?loh!!!! Siwawezi....
...hehehe....JF Udaku limerudi tena....haya weee!!Pendekeza ni habari gani ziwepo. Zifuatazo ni habari ambazo zitapewa kipaumbele: --Ni mwaka wa Vibabu vya JF,, wengi wakiri kulizwa: -Yupo Mod Maarufu wa Kike. -Smile naye alilia penzi la Kibabu kijijini. -Kimwana manywele wa Jei Efu aapa kujipa life Ban baada ya Kibabu kumlaghai na kisha kuingia mitini. -Babu Asprin, Bishanga, DC watajwa. --Baada ya JK kutangaza nia ya kuvunja Baraza la Mawaziri: -Babu Asprin ajifanya mtaalmu wa kusafisha nyota. -adai anatoa pete ya kumfanya mtu kuwa waziri. -watu maarufu kibao wafurika nyumbani kwake. --Yumo pia Mzee Mwanakijiji. --Mtakatifu Ivuga amsababishia Mwali kulala Selo, ni baada ya kukopa Gongo ya mama muuza na kisha kuingia mitini. Mwali aapa kujivua pendo. --Baada ya kugundua kuwa Amyner ni dada yake toka nitoke, Bagah ampigia magoti Erick52 apunguze tabia yake ya ukware. Yasemekana wanafahamiana jinsi wanavyoharibu watoto wa watu. --Baada ya kuonjeshwa penzi la Cantalisia, Mphamvu aapa kumpindua Rejao. Canta akesha akiomba kikombe hiki kimpite pembeni, Rejao aapa kumshusha mtu Busha. --Lile sakata la Vibabu vya Jei Efu laibua sura mpya. Vibibi navyo vyaapa kulipiza kisasi na vijana wa Jei Efu. Loya Klorokwin achekelea. --Imegundulika: kumbe Golden Mpolee ni Dume, yasemekana ni fundi Gereji pale Tabata. Mwenyewe aingia mitini baada ya siri kufichuka. --Ban la Lizzy laleta mzozo, ni Baada ya Nyara za Serikali Ngabu na Bishanga kutaka kuzipiga hadharani. --Mtu Chake alia kuteswa na Preta. Adai kila siku anapigwa na wakati mwingine analala njaa. Atoa wito zianzishwe Asasi za kutetea haki za wanaume. --Wadada wa Jei Efu wang'aka, ni baada ya kusikia Tetesi za Mwenzao kupata penzi la Invisible, wadai Invisible hawatendei haki wengine. PAW ataka kusuluhisha, atolewa nduki.. Mapendo. TANMO
Mzee mzima na umbea utasutwa, ngoja niuvbalishe skim taittungo tata,dadavua kidogo konnie.
Lifungwe wapi, ngoja aje akanushe hapa.Hahahaha... Kongosho hili gazeti lako litafungiwa pilot anakaribia kumaliza shule ujue ngoja akusikie
Kongosho,this is a presidential order,WHO IS PILOT? answer now or else you will face a six months ban!
kwa hiyo unalamba underage?
mi na we mbea nani? utasutwa mwenyewe!Mzee mzima na umbea utasutwa, ngoja niuvbalishe skim tait
Lifungwe wapi, ngoja aje akanushe hapa.
Tena habari kamili naiuza mil3 tu.
rushwaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!Nipe hela nisiseme.
BREAKING NEWS
KUWADI LA KUTUPWA LAMWAGIWA TINDIKALI
na mwandishi wetu ,arusha
Taarifa tulizozipata muda huu zinasema lile kuwadi maarufu mjini arusha liitwalo Kongosho limemwagiwa tindikali na liko icu. Habari zinasema hii ni kufuatia kitendo cha kuwadi huyo kumkuwadia bibi wa The Finest aitwaye Pilot kwa bwana mmoja mwenye pesa ndefu ajulikanaye kwa jina la bishanga.Uchunguzi unaendelea.
Konnie Konnie Konnie utakuwa hautoki hapo mtaani...kwanza ngoja nimwambie akimaliza shule asiingie humuMpambano mkali. ule mpambano kati ya mahasimu wawili Bishanga na The Finest kufanyika Tabata west jumapili hii
Mzamini wa shindano ni Konnie, mshindi atazawadiwa pilot.
Konnie Konnie Konnie utakuwa hautoki hapo mtaani...kwanza ngoja nimwambie akimaliza shule asiingie humu
He he he, pole bana, simtaji najua na wewe usije ukaniharibia uwanja wangu wa kule.Konnie Konnie Konnie utakuwa hautoki hapo mtaani...kwanza ngoja nimwambie akimaliza shule asiingie humu
Hhhmmm. . .
Pilot?
Shule?
. . . . . . . . . . ?