JF Udaku: Toleo la Mei 2012

Jei Efu Udaku Toleo la Mei lazua balaa. Inbox ya TANMO yajaa ghafla PM kutoka kwa Lizzy,, zote ni kumuomba TANMO asitoe habari zake kwa madai kwamba kuna Kabuzi amekapata. Ahofia kibuzi chake kumkimbia
Mkuu TANMO mwaga razi,rusha *****,puliza pilipili,leo mpaka kieleweke.
 
Mbona umetoa habari kwa ufupi..
Mazungumzo baada ya habari yanawajia hivi punde...Na mwandishi wetu.
Reporter news zako ziko robo and nusu ..Umepita DSJ TANMO
 
Last edited by a moderator:

..kwanza sitaki kuamini kuwa dada yangu. CANtalisa..anatoka na watu wawili. Mphamvu..na Rejao...

...pia mimi na Preta wewe tuache tu ndio Style yetu. TANMO
 
Last edited by a moderator:
HABARI KAMILI:
na mwandishi maalum
-Baada ya Kongosho kuchoropoa mimba ya Asprin,mmewe ajua,amtwanga talaka na kibondo juu,yuko icu.
-Mama Matesha naye ainyaka live,ammmwagia Asprin maji ya betri,uso nyanganyanga,yuko icu
-@Nyagi ngabu amkosa bishanga risasi,kisa wivu,atiwa nguvuni na kubondwa na manjata,yuko icu
-@Cantalisia amfumania rejao na Amyner,amnyofoa rejao korodani Rejao hoi,yuko icu
-@Husninyo amlipua babu DC hadharani,asema ndo alimpa kideti Babu DC apata mshtuko,yupo icu
-Bishanga akaribishwa kwa bashasha unga ltd,aenda usiku,atumbukia kwenye mtaro,kiuno hoi,yuko icu
-Kloro afoji cheti cha ndoa ili alipwe nauli kazini,adai yeye ni mmewe Preta,preta agundua,ampa za uso,yuko icu
 
Last edited by a moderator:
hhA HA HA HA, Umedata wewe mzee.

Kwanza ndo umemkimbiza Husyn jf.

 
HABARI MAALUM INAENDELEA
-@pet cash apigwa life ban,alijaribu kukwapua seva ya jf( kajizi kweli)
-mtoto ashrat afukuzwa shule,hajalipiwa karo kisa wazazi wake kukesha bar(halafu katoto kana kwashakoo)
-@banchuchu apigwa PI kukanyaga arusha,kisa wivu wa kupindukia na kupigana kwenye ma bar kila kukicha.
 

Sounds mouthful...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…