Jei Efu Udaku Toleo la Mei lazua balaa. Inbox ya TANMO yajaa ghafla PM kutoka kwa Lizzy,, zote ni kumuomba TANMO asitoe habari zake kwa madai kwamba kuna Kabuzi amekapata. Ahofia kibuzi chake kumkimbiaKongosho . . Konnie afumaniwa live, ni baada ya kubogewa na kibuzi hivyo kusahau kuchukua tahadhari. TANMO . . . ajikuta matatani kwa kutoa habari zisizo rasmi kumhusu Nyani Ngabu na Bishanga. Wenyewe wadai hawawezi kumgombani Lizzy!! klorokwini Kwa mara kwanza lawyer maarufu wa JF ajikuta matatani, ni katika harakati za vibabu vya JF kujiosha na "It wasn't me" baada ya bpmu alilolipua Husninyo.
mama ashrati ,mamaa kungwi wa jf eti unajua kitu kinaitwa miski?Heheheheeh!!Aisee.
Heheheheeh!!Aisee.
--Smile agoma kutolea ufafanuzi madai ya kulilia Penzi la Kibabu Kijijini. Alipobanw zaidi asema: Mimi ni mtazamaji tu
klorokwini
Kwa mara kwanza lawyer maarufu wa JF ajikuta matatani, ni katika harakati za vibabu vya JF kujiosha na "It wasn't me" baada ya bpmu alilolipua Husninyo.
--Mama Ashrat alilia penzi la PAW, adai anataka ajiepushe na Ban ndani ya JF..
Hapana Smile, labda unifafanulie kidogo maana pengine jina ndo silipati.mama ashrati ,mamaa kungwi wa jf eti unajua kitu kinaitwa miski?