Wadau japo kwa kifupi nimeona niwatiririshie news za udaku japo kiduchu kabla hazijapoa, Kwa hisani ya
TANMO Bishanga na
Elizabeth Dominic...
I. Siri ya
sosoliso kusafiri kwenda Tanga ghafla yawekwa hadharani. Dawa za mapenzi zatajwa, babu D.C ahusishwa. Mwenyewe akana, asema hajui lolote.
II. Ujio wa Xi Jinping wazua jambo juu ya
Erickb52, kazi aliyokuwa akifanya akiwa China yawekwa wazi, Yagundulika kuvunjika kwa kikombe ndiko kulimrudisha bongo, Pia mtoto aliyezaa na dada wa Jackie chan aelezewa,
Erickb52 ashikwa na kigugumizi alipoulizwa.
III. Sakata la Mulugo kufoji vyeti lachukua sura mpya,
Slave aweka mambo hadharani, kumbe aliwahi fundishwa na Mulugo form one C, mwenyewe akiri alikuwa Kilaza.
Paloma na
gfsonwin wabanwa, yagundulika Mulugo alikuwa staff mwenzao, wao wakwepa kiaina.
IV. Cheti cha ndoa cha
sweetlady chazua songombingo, yagundulika sehemu ya jina la mume imeandikwa kwa penseli, yasemekana huwa anafuta na kuandika tena, mwanaye agundulika kuwa na vyeti viwili vya kuzaliwa vinavyoonesha baba wawili tofauti, sio
nitonye wala
Nicas Mtei aliyeandikwa,
Filipo atajwa....
Itaendelea..........