JF udaku this MARCH

JF udaku this MARCH

IV. Cheti cha ndoa cha sweetlady chazua songombingo, yagundulika sehemu ya jina la mume imeandikwa kwa penseli, yasemekana huwa anafuta na kuandika tena, mwanaye agundulika kuwa na vyeti viwili vya kuzaliwa vinavyoonesha baba wawili tofauti, sio nitonye wala Nicas Mtei aliyeandikwa, Filipo atajwa....

Kweli Baba V umepatwa na pepo! Kila siku unanianzishia udaku kumchanganya wife wangu! Sijui unataka mimba yetu itoke!!!?
Ushindwe kabsa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!?:A S-devil4::A S-devil4::A S-devil4:
 
Last edited by a moderator:
Kweli Baba V umepatwa na pepo! Kila siku unanianzishia udaku kumchanganya wife wangu! Sijui unataka mimba yetu itoke!!!?
Ushindwe kabsa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!?:A S-devil4::A S-devil4::A S-devil4:

Kwani wewe na mkeo mna mimba!!?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom