JF udaku this MARCH

JF udaku this MARCH

VII. Baada ya Slave kubainika alifundishwa na Mulugo aibu kuu yamnyemelea, adaiwa kumdanganya Dena Amsi kuwa alisoma nje, Dena Amsi adai hata hivyo alimuelewa kuwa alisomea nje ya darasa (yaani chini ya mti

ha ha ha.. ndo maana huyu Dena Amsi akawa na mahaba ya dhati kwa mpenzi wake Slave.. uongo mwingine bana..
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
mhm
1 hii kali mweee!
Inaendelea..........

IV. Baada ya mafanikio ya Mulugo kupata uwaziri bila kuwa na vyeti vinavyoeleweka walimu Paloma na gfsonwin waandaa maandamano kwenda kwa raisi, wanadai na wao wapewe uwaziri, polisi wapiga marufuku, wanadai taarifa za kiinteligensia zinaonyesha kuna watu watapoteza kucha na meno.

V. manoah apata kigugumizi kupeleka kusudio la ndoa yake na mimisa mbele ya mwenyekiti licha ya kutakiwa kufanya hivyo takribani wiki tatu zilizopita, yadaiwa Ciello na Maureen ndo chanzo, Andindilile ashangilia, adai ni dalili njema kwake..

VI. Zimwi la multiple Ids lamuandama Mr Rocky, yasemekana alitumia ID nyingine ili ampate ladyfurahia ikabuma, sakata latinga kwa Mwenyekiti, Mentor aapa kuroga mtu, Mamndenyi akataa kulizungumzia....

VII. Baada ya Slave kubainika alifundishwa na Mulugo aibu kuu yamnyemelea, adaiwa kumdanganya Dena Amsi kuwa alisoma nje, Dena Amsi adai hata hivyo alimuelewa kuwa alisomea nje ya darasa (yaani chini ya mti)


Itaendeleaa..............
 
Last edited by a moderator:
Unajua uliripoti vizuri sana ile ishu ya Mtambuzi kufumaniwa ukachaguliwa kuwa ripota wa Jf udaku with effect from that day, barua yako anakuletea Bishanga

Haa nimekumbukaaa! Basi nitatia juhudi niwe na tija zaidi na kufanya vizuri niwafurahishe mabosi zangu. We subiri tu tumalize Kwaresma uone nitakavokuwa natiririka hakuna rangi watakayoacha ona mafisadi Erickb52 et al
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom