JF udaku this MARCH

JF udaku this MARCH

Baba V

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2010
Posts
19,479
Reaction score
9,546
Wadau japo kwa kifupi nimeona niwatiririshie news za udaku japo kiduchu kabla hazijapoa, Kwa hisani ya TANMO Bishanga na Elizabeth Dominic...

I. Siri ya sosoliso kusafiri kwenda Tanga ghafla yawekwa hadharani. Dawa za mapenzi zatajwa, babu D.C ahusishwa. Mwenyewe akana, asema hajui lolote.

II. Ujio wa Xi Jinping wazua jambo juu ya Erickb52, kazi aliyokuwa akifanya akiwa China yawekwa wazi, Yagundulika kuvunjika kwa kikombe ndiko kulimrudisha bongo, Pia mtoto aliyezaa na dada wa Jackie chan aelezewa, Erickb52 ashikwa na kigugumizi alipoulizwa.

III. Sakata la Mulugo kufoji vyeti lachukua sura mpya, Slave aweka mambo hadharani, kumbe aliwahi fundishwa na Mulugo form one C, mwenyewe akiri alikuwa Kilaza. Paloma na gfsonwin wabanwa, yagundulika Mulugo alikuwa staff mwenzao, wao wakwepa kiaina.

IV. Cheti cha ndoa cha sweetlady chazua songombingo, yagundulika sehemu ya jina la mume imeandikwa kwa penseli, yasemekana huwa anafuta na kuandika tena, mwanaye agundulika kuwa na vyeti viwili vya kuzaliwa vinavyoonesha baba wawili tofauti, sio nitonye wala Nicas Mtei aliyeandikwa, Filipo atajwa....

Itaendelea..........
 
Last edited by a moderator:
Mulugo alishindwa kufundisha form one civics. na wewe ndo Baba V ulimpaga scheme yako.
halafu unakumbuka kwamba ile lesso palan yako imeambiwa haijafuata syllabus??
 
Last edited by a moderator:
udaku..af mbna ww haujajiweka umo?...ungeongeza...V baba V abanwa kuhusu marital status yake,atakiwa kujieleza mkewe yu wap,ashindwa kujibu
kipi KIKUCHEKESHECHACHO...!!!?
 
Last edited by a moderator:
Wadau japo kwa kifupi nimeona niwatiririshie news za udaku japo kiduchu kabla hazijapoa, Kwa hisani ya TANMO Bishanga na Elizabeth Dominic...

I. Siri ya sosoliso kusafiri kwenda Tanga ghafla yawekwa hadharani. Dawa za mapenzi zatajwa, babu D.C ahusishwa. Mwenyewe akana, asema hajui lolote.

II. Ujio wa Xi Jinping wazua jambo juu ya Erickb52, kazi aliyokuwa akifanya akiwa China yawekwa wazi, Yagundulika kuvunjika kwa kikombe ndiko kulimrudisha bongo, Pia mtoto aliyezaa na dada wa Jackie chan aelezewa, Erickb52 ashikwa na kigugumizi alipoulizwa.

III. Sakata la Mulugo kufoji vyeti lachukua sura mpya, Slave aweka mambo hadharani, kumbe aliwahi fundishwa na Mulugo form one C, mwenyewe akiri alikuwa Kilaza. Paloma na gfsonwin wabanwa, yagundulika Mulugo alikuwa staff mwenzao, wao wakwepa kiaina.

IV. Cheti cha ndoa cha sweetlady chazua songombingo, yagundulika sehemu ya jina la mume imeandikwa kwa penseli, yasemekana huwa anafuta na kuandika tena, mwanaye agundulika kuwa na vyeti viwili vya kuzaliwa vinavyoonesha baba wawili tofauti, sio nitonye wala Nicas Mtei aliyeandikwa, Filipo atajwa....

Itaendelea..........

uuuwi!! nafwaa mie,ndio taabu ya udaku sasa huyu Dena Amsi fiksi nilizo mpiga kuwa mie nimesomea ng'ambo si itakula kwangu??? eti Baba V

Bora safari hii nimepumzika,
Loh!

Madame B hujapumzika ila tunataka safari hii ueleze mwenyewe kashfa zako bila kushurutishwa.

Udaku si ina maana kuwa ni uongo na umbeya?
Nicas Mtei hapo hilo ni jibu kwa hiyo tunuombe mwenyekiti afute kauri yake.
 
Last edited by a moderator:
dah Baba V unatisha kama nini. Nicas Mtei kumbe unanidanganya kuwa mkwe wangu
wakati umeshapata kifaa kingine, kimekula kwako.
Baba V nitafutie Mr Rocky umwambie kuwa
mimi nampenda sana.
 
Last edited by a moderator:
nasema hivi...........mtuache na sii vii zetu!!! mbona kuna waliofundisha hata hawajaenda vyuo vya ualimu!?!?!? wale waliomaliza fom siksi wapelekwa kufundishwa mnawasemaje seuze sisi tuliounganisha vyeti?!?!!? na bado.............mpaka tuwe mawaziri wakuu ndio mtaijua bongo..........!!! Baba V unaweza weka hili kwenye udaku wako pia!!!???
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom