The secretary
JF-Expert Member
- Jan 14, 2012
- 4,148
- 2,542
mtasemaaaaaaaaaa mtachokaaaaaaaaaaaa yeye katu mdomo hato ufungua.........
mambo yake yanamnyookea hana muda wa kupoteza. Madame B hapa waimbie ule wimbo wa mke wa mzee yusuph ule \time sina washkaji sina muda huo.........mimi nalisakaaaaaa tongeeeeeeee ili liende kinywaniiiiiiiiii.............................niende huku niende kuleeeeeee kuitafuta rizikiiiiiiiiiiiiii...............
hapa waimbie ule wimbo wa dada wa mzee Yusuph unaosema
semeni eeeee hamshushi hadhi yangu
semeni eeeeee simwachi mpenzi wangu
semeni eeeeeeeee buheri sasa niko kwaaanguuu
Calm down ummu kulthumu
kuhusu mimi ni kweli lakini hayakuhusu ni ofisin si nyumbani mbona unahila wewe kunifuatilia takupopoa na mawe.............oooh
ummu kulthum unagombana na nani bibie? Kuna mgeni anakuja aitwae Evelyn Salt.
Mdau mwenza Arushaone mbona hukurudi tena kule kunako sredi yetu ya kugombania mke?
Zawadi yangu iko wapi?
kuhusu mimi ni kweli lakini hayakuhusu ni ofisin si nyumbani mbona unahila wewe kunifuatilia takupopoa na mawe.............oooh
Utatoa statement tu au uta prizenti na viambatanisho!!!??
Kha..! we mwana we...., unataka kusema mwenyekiti anaishi ofsini...!!?? zereu hizo, pale ni nyumbani bana
Nani...!!? fastjet!?? yule siku mbili ofsini, siku tatu kwenye ndege, phku mbili tena gesti au hotelini ulaya