Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,385
- 68,490
Habari za jioni Wakuu.
Hebu tujaribu ku-assume kama kungekuwa na tuzo kwa JF members kila mwisho wa mwaka husika ni akina nani wangebeba tuzo kwenye Category zifuatazo? Pia unaweza ukaongeza category iliyosahaulika.
1.Wachangiaji bora wa Majukwaa ya Siasa, MMU, Habari Mchanganyiko, Jukwaa la picha na Jukwaa la Ufundi.
2.Member bora anayetumia lugha ya Kiswahili fasaha.
3.Member bora anayetumia lugha ya kiingereza vizuri.
4.Mchangiaji bora mwenye busara, asiyekuwa na kejeli, dharau na matusi kwa members wenzake.
5.Ipi ni Thread bora iliyokuwa na mchango chanya hapa JF na kwa jamii Kiujumla kwa mwaka huu.
Karubuni Wanaukumbi.