Tatizo ni charminglady yeye huwa ni story matendo ni...
mimi ntatafuta sehemu nzuri niwapeleke wana JF waishio mwanza lkn tutawaalika wachache wanaotoka maeneo mbali mbali ya nyanda za juu, za chini kusini, kas,mash na magha tukae tuongee kula muhimu pia.