JF Stats

Aiseeee hongereni sana
Hasa FirstLady1 walau umewawakilisha ooposite gender

Mbona huyu mtaalamu wa mambo yote na kila kitu kiranga hayumo??!!!!

teh teh teh
 
Mchungji Sasa akijiita 1st lady manake si anakojoa akiwa amechuchumaa ???

Kuwa makini na majina ya JF! Nimeishaimbisha jina hapa kumbe ni Mwanaume wa miraba minne na robo! Do not take anything serious kwenye hizi internet social network forums
 
Sasa mkichkachua zaid kimahesabu. Gawanya idadi ya post kwa thanks ulizopata.

Jibu utakalopata ni uwiano wa thanks to comments/post

Rev masa katika kila post zako nne (4) lazima upate thanks 1ja.
Nyani ngabu katika kila post zako sita (6)lazima upate thanks 1ja
Mwanakiji yeye katika post mbili (2) lazima apate thank 1ja

Wazee wa fikra big up
 
hahaha Rev umenichekesha maana juzi juzi hapa imenitokea nikapata hisia. kwa member ija. hata kwenye comment zake akiweka nukta tu najikuta namgongea thanks. alafu nikiona avataor natamani ningemfahamu.
 
Mchungaji, haaa haaa afadhali na wewe ume-declare kama NN.

Sasa waombe Mods waziunganishe kwenye Rev ili umpite Mzee MKJJ.

Big up man! Ndo maana tulikupa "Tuzo Ya Ujasiri" aka "Tuzo Ya Uwazi Na Ukweli"
 
Sasa mkichkachua zaid kimahesabu. Gawanya idadi ya post kwa thanks ulizopata.

Jibu utakalopata ni uwiano wa thanks to comments/post

Rev masa katika kila post zako nne (4) lazima upate thanks 1ja.
Nyani ngabu katika kila post zako sita (6)lazima upate thanks 1ja
Mwanakiji yeye katika post mbili (2) lazima apate thank 1ja

Wazee wa fikra big up

Aisee kwa nini mimi umesema ktk kila post zangu sita napata thanks moja? That's disrespectful man...lol
 
Mchungaji, haaa haaa afadhali na wewe ume-declare kama NN.

Sasa waombe Mods waziunganishe kwenye Rev ili umpite Mzee MKJJ.

Big up man! Ndo maana tulikupa "Tuzo Ya Ujasiri" aka "Tuzo Ya Uwazi Na Ukweli"

Nikosa kubwa kuziunganisha yule Painkiller akinifungia hii nakuja muda huo huo na ID nyingine !

Hahahaha Mwanakijiji ni mashine kubwa hiyo
 
Isije ikawa MS anakuzidi kwa posts nyingi maana ye ana IDs kama mia hivi......lol
 
Aisee kwa nini mimi umesema ktk kila post zangu sita napata thanks moja? That's disrespectful man...lol

hahahahha nimechakachua kimahesabu bana magazijuto.
Nimechukua Post 19,858 nikagaw kwa thanks 3,069 ndo nikapata kadirio au wastani. Kwa nini unaiona kama ni disrespect ?
 
Kwa sababu nina senksi nyingi sana ukiunganisha ID zangu zote 500
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom