Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,492
- 145,845
Nimekusoma sana mtu wangu,we ngoja tutamfundisha adabu huyu na hilo gonjwa lake la kitajiri
thi untaje laadhidhi au ndo bdo umenînunia?
mhh.. nlikua nakuxubili uje wa ubavu maana humu watu hawakawii kuxema.!!! Nkununie.. huo ubav nnao basi.!!!
Bishanga ana virusi vya ukimwi
ha ha ha ha, Nyani Ngabu, umeamua kuua kuku kwa bomu la atomik?
Hakutakuwa na mazishi ya Bishanga maana hakijabaki hata kijipande chake.
haya! vp upo wap nw?
Bishanga ana virusi vya ukimwi
na wewe Kongosho umeanza kuvuta sigara kubwa.ha ha ha ha, Nyani Ngabu, umeamua kuua kuku kwa bomu la atomik?
Hakutakuwa na mazishi ya Bishanga maana hakijabaki hata kijipande chake.
na wewe Kongosho umeanza kuvuta sigara kubwa.
Halafu sa mbili asubuhi kesho we na Nyani Ngabu breki ya kwanza Angaza,kama hamjakimbia majibu,kudadadadeki!
na wewe Kongosho umeanza kuvuta sigara kubwa.
Halafu sa mbili asubuhi kesho we na Nyani Ngabu breki ya kwanza Angaza,kama hamjakimbia majibu,kudadadadeki!
heeee....mi ndio pede mwenyewe, we chagua unataka kuwa Gold, Diamond, Silver au Tanzanite, mi nakamilisha kila kitu kwa Invisible!Nasikia wewe ndo unalipia vibinti pesa ya premium kwa invisible!!
Hebu lipia basi na mimi nijidai kodogo.
Ukitaka firigisi nitakupa ya mdogo wangu, mimi ni mama yako huniwezi.
heeee....mi ndio pede mwenyewe, we chagua unataka kuwa Gold, Diamond, Silver au Tanzanite, mi nakamilisha kila kitu kwa Invisible!
Lakini ni lazima kwanza nipate ruhusa toka kwa Bishanga na mke wangu Cantalisia