mambo si hayo bana,ngoja niwahi mitumbani manzese nikasasambue suti na gauni na bestman na matroooo.
ahsante dear kwa kujali,hawa wengine wanga tu.
kakwambia nani,mi bana ni watu wazima tu wenye expiriensi,si unaona mambo yangu na E wa T?
naishi matejoo
We Bishanga embu futa hilo neno hapo kati. . .
best wangu,mbona kifua kinapanda na kushuka? au una ham na tendo la ndoa?
we nshakwambia nakugwaya,kwa hiyo kwenye oroza ya wa kunirekebisha haumo.
dah hapo umegusa penyewe.!!! usisahau mimi na nanii..